Je, Yesu alikuwa mwana wa bikira kutoka katika ukoo wa Daudi?
Tumeona hivyo hapo mwanzo na Adamu. Katika Agano Jipya, Luka na Mathayo wanasema wazi kwamba Mariamu alichukua mimba ya Yesu alipokuwa bikira. Mathayo pia alidai kwamba huu ulikuwa utimilifu wa unabii kutoka kwa Isaya (karibu 750… Je, Yesu alikuwa mwana wa bikira kutoka katika ukoo wa Daudi?