Ishara ya Tawi: Kisiki Kilichokufa Kimezaliwa Upya
Yesu alikuwa na wakosoaji waliotilia shaka mamlaka yake. Angewajibu kwa kuwanyooshea kidole manabii waliotangulia, akidai kwamba waliona maisha yake kimbele. Hapa kuna mfano mmoja ambapo Yesu aliwaambia: 39 “Mnasoma Maandiko kwa bidii kwa maana mnafikiri kuwa humo mtapata… Ishara ya Tawi: Kisiki Kilichokufa Kimezaliwa Upya