Ishara ya Tawi: Kisiki Kilichokufa Kimefufuka
Yesu alikuwa na wakosoaji waliotilia shaka mamlaka yake. Angewajibu kwa kuwanyooshea kidole manabii waliotangulia, akidai kwamba waliona maisha yake kimbele. Hapa kuna mfano mmoja ambapo Yesu aliwaambia: 39 “Mnasoma Maandiko kwa bidii kwa maana mnafikiri kuwa humo mtapata… Ishara ya Tawi: Kisiki Kilichokufa Kimefufuka