Vitabu vya Bahari ya Chumvi na Kutegemeka kwa Agano la Kale
Hapo awali tuliangalia kanuni za msingi zinazotumika katika taaluma ya Uhakiki wa Maandishi. Kisha tukatumia kanuni hizi kwa Agano Jipya. Kwa hatua hizi uaminifu wa Agano Jipya unazidi ule wa kitabu kingine chochote cha kale. Lakini… Vitabu vya Bahari ya Chumvi na Kutegemeka kwa Agano la Kale