Pambano la Nuhu: Je, Gharika hiyo ingetokea?
Wakati filamu “Noa” ilitoka mwaka 2014 kulikuwa na porojo na mabishano mengi. Wachambuzi walitilia shaka mpango huo wa kutofuata simulizi la Biblia. Katika ulimwengu wa Kiislamu nchi kadhaa zilipiga marufuku sinema hiyo kwa vile ilionyesha nabii, ambayo… Pambano la Nuhu: Je, Gharika hiyo ingetokea?