Ibrahimu: Jinsi Mungu Atakavyotoa
Ibrahimu aliishi miaka 4000 iliyopita, akasafiri hadi eneo linalojulikana leo kama Israeli (akisafiri hadi Israeli ya kisasa ). Aliahidiwa mtoto wa kiume ambaye angekuwa ‘taifa kubwa’,Lakini ilimbidi aamini na kusubiri hadi alipokuwa mzee sana ndipo mwanawe alipozaliwa. Wayahudi na… Ibrahimu: Jinsi Mungu Atakavyotoa