Aries katika Zodiac ya Kale
Aries ni kundinyota ya nane ya Zodiac na inahitimisha Kitengo cha Zodiac ikifunua matokeo kwa ajili yetu kutoka kwa ushindi wa Yule Ajaye. Aries ni taswira ya kondoo dume akiwa hai na akiwa ameinua kichwa… Aries katika Zodiac ya Kale