Kupata Haki – mfano wa Ibrahimu
‘Taifa Kubwa’ mara ya kwanza alikuwa na umri wa miaka 75 na alikuwa ameiacha nchi yake na kusafiri kwenda Kanaani. Karibu miaka kumi sasa imepita na Ibrahimu na Sara bado hawana mtoto – sembuse taifa! “Kwa nini Mungu… Kupata Haki – mfano wa Ibrahimu