Ishara ya Pasaka ya Musa
Baada ya Ibrahimu kufa wazao wake waliitwa Waisraeli. Miaka 500 baadaye wamekuwa kabila kubwa. Lakini pia wamekuwa watumwa wa Wamisri. Kutoka Kiongozi wa Waisraeli ni Musa. Mungu alikuwa amemwambia Musa… Read More »Ishara ya Pasaka ya Musa