Siku ya 6: Ijumaa Kuu na Yesu Mwanakondoo wa Pasaka
Wayahudi husherehekea sikukuu kadhaa zinazotokana na matukio ya kipekee kwa historia yao. Moja ya sherehe zao zinazojulikana zaidi ni Pasaka. Wayahudi husherehekea sikukuu hii kwa ukumbusho wa kukombolewa kwao kutoka utumwani Misri yapata miaka 3500 iliyopita.… Siku ya 6: Ijumaa Kuu na Yesu Mwanakondoo wa Pasaka